Sunday, October 28, 2012
Saturday, October 27, 2012
ZIJUWE PASSWORD 25 ZILIZOTOMIKA SANA MWAKA HUU 2012
Miaka ya sasa suala la kuingiliwa mawasiliano binafsi kwenye
mitandao limekuwa likiwaathiri wengi, kiasi kwamba wengi wamejikuta kazi zao za
kiofisi zikiingiliwa, siri zao binafsi zikivuja mitaani au pengine kupoteza
kabisa akaunti zao za email, na mitandao mingine kutokana na hackers kuzinasa
password zao kisha wakazibadili nao watumiaji wakajikuta hawawezi kusaini in kama
awali.
YAFUATAYO
NI MANENO 25 YALIYOTUMIKA KAMA PASSWORD NA WATU WENGI KWA MWAKA 2012 KWA MUJIBU
WA WADADISI WA YAHOO.
1. password
2, 123456
3. 12345678
4. abc123
5. qwerty
6. monkey
7. letmein
8. dragon
9. 111111
10. baseball
11. iloveyou
12. trustno1
13. 1234567
14. sunshine
15. master
16. 123123
17. welcome
18. shadow
19. ashley
20. football
21. jesus
22. michael
23. ninja
24. mustang
25. password1
2, 123456
3. 12345678
4. abc123
5. qwerty
6. monkey
7. letmein
8. dragon
9. 111111
10. baseball
11. iloveyou
12. trustno1
13. 1234567
14. sunshine
15. master
16. 123123
17. welcome
18. shadow
19. ashley
20. football
21. jesus
22. michael
23. ninja
24. mustang
25. password1
Je wataka
kuwa na Password isiyo weza kugushiwa?
Hapa kuna
vidokezo:
- Tumia herufi ya kwanza kwa kila neno la shairi au mstari
kutoka katika wimbo. Kwa Mfano, "Hey, I just met you... And this is
crazy... But here's my number... So call me maybe" herufi za mwanzo ni
"hijmyaticbhmnscmm." Of course, itakupasa kuimba kichwani kila
mara unapotaka ku-log in.
- Changanya maneno mawili, mfano "hungrydog" au
"choppywater." Na ili kuweka usalama zaidi, tenganisha maneno hayo
kwa kuweka alama au namba au kiwakilishi chochote kwenye keyboard ya komputa
yako. Hivyo badala ya kuandika "hungrydog," tumia
"hungry$d0g." Ni mifano tu mengine fanya ubunifu ila kumbuka
kuweka kumbukumbu kichwani mwako.
Friday, October 26, 2012
Subscribe to:
Posts (Atom)