Monday, August 22, 2011

MBWANA SAMATTA MA TRESOR MPUTU WAIFUNGIA TP MAZEMBE.

Mbwana Samatta hapo jana aliifungia TP Mazembe goli la kwanza katika ushindi wa mabao 3-0 wa TP Mazembe dhidi Don Bosco.

Samata alifunga bao dakika ya 15 mbele ya mashabiki zaidi ya 20,000 kabla ya nyota wa klabu hiyo Tresor Mputu Mabi kufunga goli la pili katika dakika ya 20. huku bao la tatu likiwekwa kambani na Joel Kimwaki.
DON BOSCO ni timu inayomilikiwa na mtoto wa tajili wa TP MAZEMBE,Moise Katumbi.

Kikosi cha TP Mazembe kilichoanza kiliundwa na:
1. Robert KIDIABA,
4. Eric NKULUKUTA,
3. Jean KASUSULA,
2. KIMWAKI Joel,
20. Pamphile Mihayo,
13. Hugues Bedi,
11. Patou Kabangu,

25. Patrick Ochan,
8. Tresor Mputu,
30. Guy LUSADISU
29. Mbwana SAMATA.
kikosi cha DON BOSCO,timu inayomilikiwa na mtoto wa MOISE KATUMBI.
SAMATTA ( kulia ) kumpongeza MPUTU baada ya kuifungia TP bao la pili.


MPUTU akimpongeza SAMATTA baada ya kufunga bao la kuongoza.

kocha wa TP Lamine NDiaye akiwafurahia matokeo ya timu yake

TRESOR MPUTU akiwatia njaa mabeki wa DON BOSCO hapo jana.
sehemu ya mashabiki waliohudhuria mpambano wa jana baina ya DON BOSCO vs TP MAZEMBE.

No comments:

Post a Comment