Monday, October 24, 2011

AL-SHABAB....WAANZA VITU VYAO KENYA...?!


Watu zaidi ya 13 wamejeruhiwa jijini Nairobi-Kenya na kukimbizwa Kenyatta Hospital baada ya bomu la kutupwa na mkono aka grenade kurushwa kwenye nightclub iitwayo Mwauras club leo asubuhi

Shuhuda wa tukio hilo,alifunguka kuwa kuna jamaa alikuja pande za Mwauras bar saa 9 za usiku na kuomba kuingia ndani na kurusha bomu hilo na kukimbia na polisi wa Kenya hawajufunguka ni nani muhusika,lakini kundi la waasi wa Al-Shabab toka somalia linahusishwa na tukio hilo hasa baada ya Majeshi ya Kenya kuamua kuwasaka kundi la Al-Shabab baada ya kufanya tukio la utekaji nyara wa mtalii toka Uingereza,mmoja toka Ufaransa ambaye baadaye alifariki na wafanyakazi 2 wa misaada toka Hispania waliofika Kenya na wiki iliyopita Ubalozi wa Marekani uliwatahadharisha wakenya kuwa makini na mashambulio kama hayo toka kwa kundi la Al-Shabab
 Jembe moja kutaka Al-shabab likiwa limeshika bendera yao
Hawa ni baadhi ya askali wa Al- Shabab wakiwa kazini.. Inchini Somalia

Friday, October 14, 2011

IMANI-GOODNEWS KATIKA MUONEKANO MPYAAAAA....

                                               Imani

Sunday, October 9, 2011

Nimeikuta hii mahala nikasema nii copy na ku paste ili ku share na nyinyi Mnaojua kimombo mtasaidia kuwatafsiria na wengine.

SEE MISTAKES AS A JOURNEY
Sure, things go wrong sometimes, but no one is supposed to be perfect in life - everything we do, right or wrong, is a journey towards either understanding ourselves or a situation.

We all have our an internal bully, but negative self-talk is counterproductive.
Instead, focus on what you can learn from your mistakes.
For example, say to yourself "Next time, I need to have more tact or more patience"
then move on and let the best of you shine through.



BE OPEN TO CHANGE
Naturally happy peolpe tend to be better at accepting change. Being adaptable is a great asset and if you can be open to what life throws to you, you're likely to feel happier.
Change, especially when unexpected, can be scary, but try and roll with the punches instead of fighting it.
Shocks like redundancy often force us to throw everything up in the air, but letting go of old expectations can lead to freedom to follow a different dream, even if it doesn't feel like right away



SEE MISTAKES AS A JOURNEY
Sure, things go wrong sometimes, but no one is supposed to be perfect in life - everything we do, right or wrong, is a journey towards either understanding ourselves or a situation.

We all have our an internal bully, but negative self-talk is counterproductive.
Instead, focus on what you can learn from your mistakes.
For example, say to yourself "Next time, I need to have more tact or more patience"
then move on and let the best of you shine through.



BE THE UNEDITED YOU.
This is all about learning to let go of self-consciousness.
No one has the right to judge you, and accepting that is the first step towards being "unedited" you.
Learn to break the habit of shaping your personality to fit those around you
People-pleasing won't bring happiness ultimately.
And remember, you could have lots of friends telling you you're great, but if you cant fight your internal critic, you'll struggle to be happy.



LAUGH AT YOURSELF
When you're able to laugh at yourself, it shows you accept the real you, imperfections and all.
Once you get the habit, it's amazing how easy it is becomes. It's a trait that many naturally happy'people share - they could have exactly the same day as someone else,
but would find snatches of humor in little moments, which others might miss.

MAMA WA KICHINA AGOMA KULIPA USHURU WA MAEGESHO YA MAGARI KISA JUMAMOSI SIYO SIKU YA KAZI

Moja ya watumishi wa kampuni ya AAICO ambayo ndiyo wamepewa dhamana ya kukusanya ushuru wa maegesho ya magari jijini mbeya akitoa mnyororo kulifunga gari ya wachina hao huku mama wa kichina akilia kwa hasira.

,,z
 Mama wa kichina akimtolea maneno makali binti Eliza mkusanya ushuru wa maegesho ya magari huku mchina huyo akiendelea kugoma kuwa hawezi lipa ushuru siku ya jumamosi na jumapili kwani ni siku za mapumziko siyo siku za kukusanya ushuru

 .

Mume wa mama wa kichina akijaribu nae kuwaelewesha wakusanyaji waushuru wa maegesho yamagari kuwa wameshazoea hivyo kutolipa siku ya jumamosi na jumapili kwani ni siku za mapumziko.


Mama wa Kichina akiwa amechacha maa na kuelekea katika Jengo la NMB Tawi la Mbalizi Road Mjini Mbeya kuomba msaada kwa mapolisi.

Saturday, October 8, 2011

KASEBA AMTAKA TENA CHEKA


Francis cheka
Wiki moja baada ya kushinda pambano lake dhidi ya Maneno Osward bondia Japhet Kaseba amesema kwa sasa yupo tayari kurudiana na Francis Cheka muda wowote.

Kaseba ameliambia gazeti hili kuwa kipindi alipopigana na Cheka na akapigwa kwa KnockOut alikuwa hana uzoefu, lakini sasa amejipanga na ana matumaini makubwa ya kufanya vizuri.

Alisema alikuwa akicheza ngumi, kisha akahamia katika Kickboxing, alipoamua kurudi katika ngumi ndipo muda mfupi akapangwa kucheza na Cheka hivyo hakuweza kumhimili.

Alisema kwa sasa amejiimarisha zaidi na yupo tayari kupigana na bondia yeyote yule.

Alisema ushindi alioupata mwishoni mwa wiki, alipocheza na Maneno Oswald ni ushahidi tosha kuwa anaweza kupambana na hivyo atamkabili Cheka bila matatizo.

“Mimi kwa sasa ninahitaji kukutana na yeyote yule na nina uhakika kuwa nitashinda kwa KO ni suala la kutafuta promota tu,” alisema Kaseba.

Cheka mwenye maskani yake mkoani Morogoro amekuwa tishio katika mchezo wa ngumi na kuibuka na ushindi katika kila pambano analocheza.

Thursday, October 6, 2011

Sarah Palin hatagombea Urais Marekani

Aliyekuwa gavana wa Alaska Sarah Palin ametangaza hatawania kiti cha Rais wa Marekani mwaka ujao.
Bi Palin amesema katika taarifa kuwa alifikia uamuzi huo baada ya kuzingatia mengi na kuwa yeye na mumewe wamejitolea katika masuala ya Mungu,familia na nchi yao.
Tangazo hilo la Palin mwenye umri wa miaka 47 limemaliza wasiwasi uliokuwepo kuhusu mipango yake.
Gavana wa zamani wa Massachusetts Mitt Romney na gavana wa Texas Rick Perry wanaongoza timu ya Marepublican kukabiliana na Rais Barack Obama katika kinyang'anyiro cha Ikulu ya White House mwaka ujao.
"Baada ya maombi mengi na kutafakari, nimeamua sitatafuta kuteuliwa kugombea kiti cha Rais wa Marekani" Bi Palin aliandika haya katika barua aliyowaandikia wafuasi wake.
"Kwangu, familia yangu ndio inachukuwa nafasi ya kwanza, mimi na Todd tumeweka familia yetu mbele kwanza kabla ya kuchukuwa uamuzi huu.
Lakini Palin amesema katika wiki zijazo atafanya mikakati ya kampeini kusaidia kumuondoa Rais wa sasa mamlakani, kumiliki bunge la Senate na bunge la Waakilishi.
Sarah Palin hakuonesha anamuunga nani mkono kati ya wagombea wa sasa wawili wanaotaka uteuzi wa chama ili wakabiliane na Obama.
Tangazo lake limetolewa siku moja baada ya gavana wa New Jersey Chris Christie kujiondoa katika kinyang'anyiro hicho.

KOCHA WA AZAM AOMBA KUIFUNDISHA MALAWI

Kocha wa Azam FC na timu ya Taifa ya Zanzibar 'Zanzibar Heroes', Stewart Hall ametuma maombi ya kwa shirikisho la mpira nchini Malawi ya kuifundisha timu ya Taifa ya nchi hiyo.
Kocha huyo toka Uingeleza aliyejiunga na Azam FC january mwaka huu, baada ya kufanya kazi nzuri na Zanzibar Heroes katika michuano ya Challenge mwaka jana mwishoni. Ametuma maombi nchini Malawi ya kukinoa kikosi cha timu ya Taifa ya Malawi.

Hall ambaye aliteuliwa kuwa Kocha Mkuu wa Zanzibar Heroes, na Chama Cha Mpira wa miguu Zanzibar 'ZFA' katika michuano ya Challenge yatakayofanyika nchini mwezi wa kumi na mbili, amepata ridhaa ya viongozi wa Azam FC, katika suala zima la kutuma maombi ya kuifundisha timu ya taifa ya Malawi kama ilivyo kwa Zanzibar Heroes.

RIHANNA....AZINGUA LOCATION YA VIDEO MPYA...!

ROBYN RIHANNA FENTY - RIHANNA
Baada ya kuachia ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la We Found Love,Robyn Rihanna Fenty aka Rihanna amefunguka jina la album yake ya 6
....RIHANNA....ON SET...
Album yake ya 6 itaitwa Talk That Talk na baada ya kutoa first single iitwayo We Found Love amesepea pande za Northern Ireland kwa ajili ya kutengeneza video ya ngoma hiyo na kuleta mtafaruku kutokana na scene aliyotumia wakati wa kufanya video ya We Found Love,baada ya kuonekana akiwa topless na kuzua malamiko toka kwa mkulima mwenye shamba lake lililotumika kama location Alan Graham,aliyempa Rihanna shamba lake la Ngano lililopo pande za Bangor County Down,Belfast
                      ....WE FOUND LOVE...VIDEO MAKING....

KICK BOXER MOSES GOLOLA....KUTOKA NA MOVIE...!

                       MOSES GOLOLA - UGANDAN KICKBOXER
Bingwa wa kickboxing toka Uganda,Golola Moses yuko kwenye mishemishezakufanya movie itakayokwenda kwa jina la Hot Temper

Movie hiyo itakua ni real life story na itahusu maisha na mishemishe za michezo za Moses Golola,na anatarajiwa mwenyewe kuwa starring na humo ndani ataelezea historia yake tangu alipokua houseboy miaka ya 80 mpaka sasa akiwa na heshima kubwa Uganda na Afrika Mashariki kupitia mchezo wa kickboxing na picha zake kutawala kwenye billboards za jiji la Kampala na movie hiyo itakua chini ya director,Henry H. Ssali

....TOKA KWENYE FACEBOOK STATUS YA...SUGU....!


HIP HOPPER JOSEPH MBILINYI - MBUNGE (MBEYA MJINI) MISSION: Personally nitaenda Ikulu kumpelekea Rais Kikwente copy ya Anti-Virus Mixtape Vol 2 pamoja na zawadi ya Tshirt ya Anti-Virus...Ili naye asikilize vijana wa taifa lake na kilio chao....