Sunday, June 16, 2013

Wacheza sinema maarufu wa Hollywood Marekani kuigiza filamu fupi ya kupiga vita silaha za nyuklia.

Michael Douglas
Baadhi ya waigizaji wakubwa wa sinema wa nchini marekani wameunganisha nguvu zao na kutengeneza filamu fupi inayotoa wito kwa dunia kutokomeza silaha za nyuklia
Muigizaji mkogwe Michael Douglas amesadia katika kutafuta waigizaji kama Roberto de Niro,Morgan Freeman  na Matt Damon na Matt Damon ili washiriki katika filamu hiyo ya dakika Mbili(2)

Morgan Freeman                                      Roberto de Niro
         Matt Damon
                                                


Mastaa hao ambapo pia yumo Alex Baldwin,Danny Devitto na Martin Sheers wame mtaka Rais wa marekani Mh.Barack Obama kuweka wazi mikakati ya kupunguza na kisha kutokomeza kabisa silaha hizo, Filamu hiyo imetolewa na kujikuta ikienda sambamba na mkutano wa G8 unaofanyika kaskazini mwa Ireland. 

BENDI YA COCODO AFRICAN MUSIC YA ACHIA NYIMBO MBILI KWA MPIGO


 Kutika kuhakikisha kuwa mwaka huu wana liteka soko la muziki bendi ya Cocodo african music ime achia nyimbo mbili kwa mpigo. Akizungumza na blog hii kiongozi wa bendi ya 

Cocodo African aitwae Emmanuel Mwakipesile amesema kwamba wame achia nyimbo itwayo Masawe Bahiri amayo ni audio na Video ya nyimbo iitwayo Sun shine ambayo pia imetumika kama sound track ya filmu iitwayo sunshine
Nyimbo zote hizo tayali zime anzwa kuchezwa na vituo mabli mbali vya radio na tv kama Clouds,EATV  
 
kusiliza nyimbo za Cocodo na kuona video zao Bonyeza hii link
http://cocodoafricanmusic.com/?page_id=79
http://cocodoafricanmusic.com/?page_id=79


BAADHI YA KATUNI ZA MASOUD KIPANYA AMBAZO NAZIZIMIA SANA...!

MAENDELEO
 DSM
 VIWANDA
 SISI

Saturday, October 27, 2012

ZIJUWE PASSWORD 25 ZILIZOTOMIKA SANA MWAKA HUU 2012

Miaka ya sasa suala la kuingiliwa mawasiliano binafsi kwenye mitandao limekuwa likiwaathiri wengi, kiasi kwamba wengi wamejikuta kazi zao za kiofisi zikiingiliwa, siri zao binafsi zikivuja mitaani au pengine kupoteza kabisa akaunti zao za email, na mitandao mingine kutokana na hackers kuzinasa password zao kisha wakazibadili nao watumiaji wakajikuta hawawezi kusaini in kama awali.

YAFUATAYO NI MANENO 25 YALIYOTUMIKA KAMA PASSWORD NA WATU WENGI KWA MWAKA 2012 KWA MUJIBU WA WADADISI WA YAHOO.

1. password
2, 123456
3. 12345678
4. abc123
5. qwerty
6. monkey
7. letmein
8. dragon
9. 111111
10. baseball
11. iloveyou
12. trustno1
13. 1234567
14. sunshine
15. master
16. 123123
17. welcome
18. shadow
19. ashley
20. football
21. jesus
22. michael
23. ninja  
24. mustang
25. password1 
Je wataka kuwa na Password isiyo weza kugushiwa? 
Hapa kuna vidokezo:




- Tumia herufi ya kwanza kwa kila neno la shairi au mstari kutoka katika wimbo. Kwa Mfano, "Hey, I just met you... And this is crazy... But here's my number... So call me maybe" herufi za mwanzo ni "hijmyaticbhmnscmm."  Of course, itakupasa kuimba kichwani kila mara unapotaka ku-log in.
- Changanya maneno mawili, mfano "hungrydog" au "choppywater." Na ili kuweka usalama zaidi, tenganisha maneno hayo kwa kuweka alama au namba au kiwakilishi chochote kwenye keyboard ya komputa yako. Hivyo badala ya kuandika "hungrydog," tumia "hungry$d0g."  Ni mifano tu mengine fanya ubunifu ila kumbuka kuweka kumbukumbu kichwani mwako.


Friday, October 26, 2012

THE RETURN OF IMANI-GOODNEWS

Baada ya kimya cha muda mrefu sasa blog yako ya Imani-goodnews inarudi upya...ikiwa katika muonekano mpya  na hamu ya kukupa habari wewe mshabiki wake.. naomba tuwe pamoja kama ilivyokuwa hapo awali...NAWAPENDA WOTE..

Tuesday, May 29, 2012

YALIYOJILI WAKATI WA UTENGENEZAJI WA VIDEO MPYAA YA WAKALI KWANZA...!

DAY ONE...!
 
 Kutoka kushoto ni MAkamua...Matara...na Kekuuu...hapa tulikuwa tunasubili kipenga kipulizwe ili tuanze,,,,Kazi...

Mdau akijaribu kuandaa BENZ amabayo ilitumiaka katika Video... safiii

 Maandilizi yakiendelea .....
 Huyu Dada anaitwa Soph huyu ndio alisimamia mpango Mizma wa kuwa pendezesha wahusika kwa upande wa nyuso na NK...
 Kutoka kushoto ni MAKAMUA..KEKUU..JOSLIN
mwenye nguo nyekundu ni Director  wa the dream anaitwa EDWARD  na yule aliye shika Camera anaitwa RAYMOND Wakijaribu kuteta jambo na wahusika wakuuu wa video hiyooo Kabla ya kuanza kwa kazi......Joslin namwana dada Sara....
 Kipenga kimesha pulizwa sasa kazi ime anza Rasimi,..
 Kwa Mtido huu lazima Migongo iumeee....
 Hapa ndipo nilipo thibitisha Ule Msemo Usemao Mtaka cha UVUNGUNI ni lazima ainame....cheki...jamaa alivyo jikunja ili apate picha nzuri...

Unyama Ukiendelea na Director hataki Masihala na Kazi cheki anavyo komaa na Camera Man..


HAya naomba wote tugeuze vichwa kutazama picha hiii..enheee Safiiiii...!

Joslin akibembeleza penzi kwa mwana dada....!

Baada ya kumaliza Mzigo kwa siku ya kwanza tunaamua kupiga picha ya ukumbusho.... hii ndio chance yetu wazee wa nyuma ya Camera...!