Sunday, June 16, 2013

BENDI YA COCODO AFRICAN MUSIC YA ACHIA NYIMBO MBILI KWA MPIGO


 Kutika kuhakikisha kuwa mwaka huu wana liteka soko la muziki bendi ya Cocodo african music ime achia nyimbo mbili kwa mpigo. Akizungumza na blog hii kiongozi wa bendi ya 

Cocodo African aitwae Emmanuel Mwakipesile amesema kwamba wame achia nyimbo itwayo Masawe Bahiri amayo ni audio na Video ya nyimbo iitwayo Sun shine ambayo pia imetumika kama sound track ya filmu iitwayo sunshine
Nyimbo zote hizo tayali zime anzwa kuchezwa na vituo mabli mbali vya radio na tv kama Clouds,EATV  
 
kusiliza nyimbo za Cocodo na kuona video zao Bonyeza hii link
http://cocodoafricanmusic.com/?page_id=79
http://cocodoafricanmusic.com/?page_id=79


No comments:

Post a Comment