Sunday, June 16, 2013

Wacheza sinema maarufu wa Hollywood Marekani kuigiza filamu fupi ya kupiga vita silaha za nyuklia.

Michael Douglas
Baadhi ya waigizaji wakubwa wa sinema wa nchini marekani wameunganisha nguvu zao na kutengeneza filamu fupi inayotoa wito kwa dunia kutokomeza silaha za nyuklia
Muigizaji mkogwe Michael Douglas amesadia katika kutafuta waigizaji kama Roberto de Niro,Morgan Freeman  na Matt Damon na Matt Damon ili washiriki katika filamu hiyo ya dakika Mbili(2)

Morgan Freeman                                      Roberto de Niro
         Matt Damon
                                                


Mastaa hao ambapo pia yumo Alex Baldwin,Danny Devitto na Martin Sheers wame mtaka Rais wa marekani Mh.Barack Obama kuweka wazi mikakati ya kupunguza na kisha kutokomeza kabisa silaha hizo, Filamu hiyo imetolewa na kujikuta ikienda sambamba na mkutano wa G8 unaofanyika kaskazini mwa Ireland. 

No comments:

Post a Comment