Tuesday, May 29, 2012

YALIYOJILI WAKATI WA UTENGENEZAJI WA VIDEO MPYAA YA WAKALI KWANZA...!

DAY ONE...!
 
 Kutoka kushoto ni MAkamua...Matara...na Kekuuu...hapa tulikuwa tunasubili kipenga kipulizwe ili tuanze,,,,Kazi...

Mdau akijaribu kuandaa BENZ amabayo ilitumiaka katika Video... safiii

 Maandilizi yakiendelea .....
 Huyu Dada anaitwa Soph huyu ndio alisimamia mpango Mizma wa kuwa pendezesha wahusika kwa upande wa nyuso na NK...
 Kutoka kushoto ni MAKAMUA..KEKUU..JOSLIN
mwenye nguo nyekundu ni Director  wa the dream anaitwa EDWARD  na yule aliye shika Camera anaitwa RAYMOND Wakijaribu kuteta jambo na wahusika wakuuu wa video hiyooo Kabla ya kuanza kwa kazi......Joslin namwana dada Sara....
 Kipenga kimesha pulizwa sasa kazi ime anza Rasimi,..
 Kwa Mtido huu lazima Migongo iumeee....
 Hapa ndipo nilipo thibitisha Ule Msemo Usemao Mtaka cha UVUNGUNI ni lazima ainame....cheki...jamaa alivyo jikunja ili apate picha nzuri...

Unyama Ukiendelea na Director hataki Masihala na Kazi cheki anavyo komaa na Camera Man..


HAya naomba wote tugeuze vichwa kutazama picha hiii..enheee Safiiiii...!

Joslin akibembeleza penzi kwa mwana dada....!

Baada ya kumaliza Mzigo kwa siku ya kwanza tunaamua kupiga picha ya ukumbusho.... hii ndio chance yetu wazee wa nyuma ya Camera...!

No comments:

Post a Comment