Kocha wa Azam FC na timu ya Taifa ya Zanzibar 'Zanzibar Heroes', Stewart Hall ametuma maombi ya
kwa shirikisho la mpira nchini Malawi
ya kuifundisha timu ya Taifa ya nchi hiyo.
Kocha huyo toka Uingeleza aliyejiunga na Azam FC january mwaka huu, baada
ya kufanya kazi nzuri na Zanzibar Heroes katika michuano ya Challenge mwaka jana
mwishoni. Ametuma maombi nchini Malawi
ya kukinoa kikosi cha timu ya Taifa ya Malawi.
Hall ambaye aliteuliwa kuwa Kocha Mkuu wa Zanzibar Heroes, na Chama Cha Mpira wa miguu Zanzibar 'ZFA' katika michuano ya Challenge yatakayofanyika nchini mwezi wa kumi na mbili, amepata ridhaa ya viongozi wa Azam FC, katika suala zima la kutuma maombi ya kuifundisha timu ya taifa ya Malawi kama ilivyo kwa Zanzibar Heroes.

No comments:
Post a Comment