Thursday, October 6, 2011

KICK BOXER MOSES GOLOLA....KUTOKA NA MOVIE...!

                       MOSES GOLOLA - UGANDAN KICKBOXER
Bingwa wa kickboxing toka Uganda,Golola Moses yuko kwenye mishemishezakufanya movie itakayokwenda kwa jina la Hot Temper

Movie hiyo itakua ni real life story na itahusu maisha na mishemishe za michezo za Moses Golola,na anatarajiwa mwenyewe kuwa starring na humo ndani ataelezea historia yake tangu alipokua houseboy miaka ya 80 mpaka sasa akiwa na heshima kubwa Uganda na Afrika Mashariki kupitia mchezo wa kickboxing na picha zake kutawala kwenye billboards za jiji la Kampala na movie hiyo itakua chini ya director,Henry H. Ssali

No comments:

Post a Comment