Thursday, August 4, 2011

KICK BOXER MOSES GOLOLA....ATOA MSAADA...!

                                      MOSES GOLOLA - UGANDAN KICK BOXER
Bingwa wa Kick boxing mwenye mkwala toka Uganda,Golola Moses aliwafariji wafanyabiashara waliopoteza mali zao za mamilioni baada ya moto kuteketeza soko la Owino siku chache zilizopita jijini Kampala-Uganda
Golola alichangia shs 500,000 za Uganda na kwa kumshukuru wafanyabiashara hao wamefunguka kuwa wanamuomba apigane siku za hivi karibuni pande za Nakivubo ili waingie wamshangilie ikiwa kama ishara ya kumpa big-up na kudai kuwa nchi yao inahitaji watu wenye moyo wa uzalendo kama wake...



             ....SOKO LA OWINO NCHINI UGANDA.....LIKITEKETEA KWA MOTO....

No comments:

Post a Comment