Wednesday, August 17, 2011

NIME KUTA HAYA KWENYE UKURASA WA FACEBOOK WA SUGU.....

                                                        Mh. Joseph Mbilinyi

TO EVERYBODY OUT THERE:Asanteni sana kwa sapoti yenu kubwa watanzania wenzetu...pia ukiacha wasanii wenzetu wasaliti ambao ni wachache sana,naomba niwahakikishie kuwa tuna sapoti kubwa kutoka kwa wasanii wengi muhimu hapa bongo(wakiwemo waliowahi kupitia THT!!),tuna text msgs zao za kutosha ambazo wanatupongeza na ikibidi tutazisoma kwa TAIFA kwenye PRESS CONFERENCE hivi soon...hofu inaanza kuondoka na washkaji wanafunguka sasa...

No comments:

Post a Comment