Casie
Casie,dada mwenye miaka 26 anayeishi pande za Tennessee-Marekani,amefunguka kwenye kipindi kimoja cha TV,My Strange Addiction kuwa huwa anakula mabaki ya majivu ya mume wake aitwaye Shawn
....ALAMBA...AAMH...
Shawn alifariki ghafla kwa ugonjwa wa pumu na walikutana mwaka 2008, na waliishi maisha ya furaha sana kama twins,na kwa sasa dada huyo hutembea na mabaki hayo ya mwili wa shawn popote aendapo kama ni grocery,movie au kwenye restaurant,japo tabia hiyo huwakera ndugu zake na marafiki lakini akijisikia mpweke hulia na kuyaambia majivu yake 'Oh baby I miss you'....Duh!
No comments:
Post a Comment