WENDALL PARSON - WINNER BBA AMPLIFIED 2011
Mshindi wa dola 200,000 za Big Brother Amplified-2011 toka Zimbabwe,Wendall Parson amepewa dola 50,000 kama zawadi na Prezidaa wa Zimbabwe Robert Mugabe
Rais Mugabe alifunguka kuwa mkwanja huo umetoka kwa wafanyabishara waliompelekea zawadi kama shukrani na pia mwakilishi mwingine toka Zimbabwe aliyetoka mapema,Vimbai Mutinhiri amepewa dola 10,000 za Marekani
No comments:
Post a Comment